Yondani kuiwahi Lipuli Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Apr 2019
Yondani kuiwahi Lipuli Fc

Beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani atamaliza adhabu yake Alhamisi kwa kukosa mchezo dhidi ya Prisons

Yondani alifungiwa michezo mitatu na tayari amekosa mchezo mmoja dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo wa keshokutwa dhidi ya Azam Fc utakuwa wa pili na mchezo mwingine ni huo wa Tanzania Prisons May 02

Yanga ina uhakika wa kumtumia beki huyo kwenye mchezo muhimu wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Lipuli Fc ambao utapigwa May 06 mkoani Iringa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’