Lwandamina akiri mazingira ya Njombe yaliiathiri Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2017
Lwandamina akiri mazingira ya Njombe yaliiathiri Yanga
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amesema baridi kali ya Njombe iliathiri timu yake kutocheza vizuri hasa kwenye kipindi cha pili katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mji ya Njombe.

Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 ambapo mpira wa adhabu uliopigwa na Ibrahim Ajib kwenye dakika ya 16 uliipatia Yanga ushindi huo muhimu.

Lwandamina pia ameponda uwanja wa Sabasaba kuwa hauko kwenye kiwango cha kuridhisha lakini amesisitiza ushindi walioupata ndio waliohitaji zaidi.

"Ninamshukuru Mungu tumeshinda, lakini ulikuwa mchezo mgumu sana kutokana na mazingira magumu ya Uwanja na hali ya hewa," alifunguka Lwandamina baada ya mchezo huo.

Yanga ina kibarua kingine Jumamosi hii ambapo itakuwa mkoani Ruvuma kuumana na Majimaji Septemba 16.

Majimaji ni moja ya timu ngumu zinapokuwa kwenye dimba lake la nyumbani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’