Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi Yanga leo wamehitimisha zoezi la kampeni Makao Mkuu ya klabu hiyo, Jangwani jijini Dar es salaam
Uchaguzi utafanyika kesho Jumapili ukumbi wa Bwalo la Polisi, Osterbay
Picha za matukio ya wakati wa kuhitimisha kampeni hizo;







ADVERTISE HERE