Yanga yawasili Musoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2019
Yanga yawasili Musoma

Kikosi cha Yanga kiliondoka mapema leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Biashara United

Yanga ilitumia usafiri wa ndege mpaka Mwanza ambako msafara wa timu hiyo ulichukua basi kuelekea wilayani Musoma

Tayari kikosi cha Yanga kimepokelewa Bunda na jioni ya leo kitaendelea na maandalizi ya mchezo huo utakaopigwa Ijumaa, May 10 katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume

Mchezo huo ni mmoja wa michezo minne iliyobaki ambayo Yanga imepania kuvuna alama zote 12

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’