Mamia waupokea Mwili wa Dk Mengi Moshi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2019
Mamia waupokea Mwili wa Dk Mengi Moshi

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dk Reginald Mengi umewasili mkoani Kilimanjaro na utasafirishwa kwenda Machame kwa ajili ya mazishi hapo kesho

Mamia ya Wananchi wamejitokeza na kujipanga barabarani kuuaga mwili wa Mfanyabishara huyo aliyekuwa na moyo wa kuwasaidia wenye mahitaji

Dk Mengi alifariki dunia wiki iliyopita Dubai alikokuwa amekwenda kwa ajili ya mapumziko

Atapumzishwa katika nyumba yake ya milele kesho Alhamisi, Machame Moshi

Wakati wa uhai wake Dk Mengi alikuwa mdau mkubwa wa michezo. Yanga itamkumbuka zaidi kwa kuwa alikuwa Mwanachama wake na aliwahi kuifadhili timu hiyo miaka ya nyuma

Mwishoni mwa miaka ya 90, Dk Mengi alihusika katika kutatua mgogoro uliozuka wakati huo kati ya Yanga Asili na Yanga Kampuni enzi za uongozi wa Abbasi Tarimba ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Utawala kampuni ya SportPesa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’