Fei Toto atakiwa Uingereza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2019
Fei Toto atakiwa Uingereza

Hivi karibuni kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike alimwagia sifa kiungo wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' kuwa anaweza kucheza soka barani Ulaya akiitaja FC Barcelona kuwa ni timu ambayo anaweza kucheza kabisa

Inaelezwa klabu ya Yanga imepokea maombi kutoka klabu moja ya Uingereza ambayo inamuhitaji Fei Toto akafanye majaribio

Timu hiyo ambayo haikuwekwa hadharani, imedhamiria kumsajili Fei Toto kama atafuzu majaribio hayo

Fei Toto aliyetua Yanga mwaka jana, amekuwa katika kiwango bora, akijihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Mwinyi Zahera

Inaelezwa Yanga imejipanga kusajili kiungo mwingine ikitokea Fei Toto atafanikiwa kutimkia Uingereza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’