Yanga yasaka alama tatu Musoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 May 2019
Yanga yasaka alama tatu Musoma

Kikosi cha Yanga leo Ijumaa, saa kumi kamili jioni kitashuka kwenye uwanja wa Karume wilayani Musoma kuikabili Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Yanga iko Musoma tangu juzi ikijiandaa na mchezo huo ambao kocha Mkuu wa mabingwa hao wa kihistoria Mwinyi Zahera ameahidi ushindi

Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya kombe la FA, Yanga imebaki na michezo minne ya kufunga msimu

Kimahesabu, bado Yanga ina nafasi ya kutwaa ubingwa kama itashinda michezo yote na wakati huo huo wapinzani wao Simba wakakosa ushindi kwenye baadhi ya michezo yao

Wakati Yanga ikiwa Musoma, Simba itakuwa uwanja wa Taifa kucheza na Kagera Sugar katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’