Kwa waumini wa dini ya kiislam ambao wako katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wamealikwa katika hafla ya chakula cha jioni 'Gala Dinner' itakayofanyika Hotel ya Serena May 18 jijini Dar es salaam
Hafla hiyo maalum kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la uchangia klabu ya Yanga, itaanza saa 12 jioni ambapo imeelezwa futari itapatikana kwa wale watakaokuwa wamefunga
Wadau mbalimbali wa klabu ya Yanga wanatarajiwa kualikwa katika hafla hiyo ambayo Kamati ya uhamasishaji imepanga kukusanya angalau Tsh Milioni 500
ADVERTISE HERE