Kamati ya uhamasishaji Yanga imeweka hadharani viingilo vya tukio la chakula cha jioni na futari 'Gala Dinner' litakalofanyika Hoteli ya Serena May 18
Yanga imedhamiria kukusanya angalau Mil 500 katika tukio hilo litakalowahusisha wadau wake
Kwa kiingilio cha Tsh Mil 10, utaweza kukaa meza ya VVIP wakati kiingilio cha kawaida ni Tsh Miloni moja
Kwa wale wanaotaka kuwa na mweza binafsi wanaweza kuwasiliana na uongozi wa Yanga kupitia simu namba 0717070101
Mchanganuo wa viingilo ni kama unavyoonekana hapo juu
ADVERTISE HERE