Kenny Ali ahusishwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2019
Kenny Ali ahusishwa Yanga

Ligi Kuu ya Tanzania Bara imebaki wiki mbili tu kumalizika na tayati vilabu vimeanza kupigana 'vikumbo' kuwania saini za wachezaji ili kuimarisha vikosi vyao

Jana kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alifichua kuwa anatarajia kusajili wachezaji nane kukiongezea kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao

Miongoni mwa wachezaji hao, wanne watakuwa wazawa na wachezaji wengine wanne watatoka nje ya nchi

Sasa inaelezwa kuwa Zahera anamtaka kiungo wa Singida United Kenny Ally ili kuimarisha safu yake ya kiungo

Pendekezo hilo tayari limewasilishwa kwa Rais wa Singida United Dk Mwigulu Nchemba

Dk Nchemba aliahidi kusajili mchezaji mmoja msimu huu

Mbali na Kenny, winga wa KMC Hassani Kabunda nae yuko katika mipango ya kusajiliwa na Yanga.

Hivi karibuni Kabunda alifichua kuwa yuko tayari kukipiga na mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’