Dk Msolla atangaza kusaka Kocha Msaidizi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2019
Dk Msolla atangaza kusaka Kocha Msaidizi Yanga

Habari njema kwa Wanajangwani ni kuwa uongozi wa Yanga umetangaza kuanza mchakato wa kutafuta kocha Msaidizi Mzawa ambaye atasaidiana na kocha Mwinyi Zahera kukinoa kikosi cha Yanga

Tangu alipoanza kazi mwishoni mwa msimu uliopita, kocha Zahera hakuwa na Msaidizi zaidi ya Noel Mwandila ambaye amekuwa akikaimu nafasi hiyo licha ya kuajiriwa Yanga kama kocha  mtaalamu wa viungo

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshondo Msolla ambaye kitaalam ni kocha, amesema kuna umuhimu kwa benchi la Ufundi kuongezewa nguvu kwa kuajiri kocha Msaidizi mzawa ambaye atakuwa sambamba na Zahera

"Benchi la ufundi linahitaji kuwa na kocha msaidizi mwenye kiwango kizuri ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi chetu, tutaangalia zaidi kocha mzawa ili aweze kuwa sambamba na kocha Zahera kufanya kazi," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’