Tshishimbi aipotezea Azam Fc, asema Tanzania atacheza Yanga tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 May 2019
Tshishimbi aipotezea Azam Fc, asema Tanzania atacheza Yanga tu

Wakati mkataba wake ukielekea ukingoni, kiungo Papi Kabamba Tshishimbi amesema hafikiri kujiunga na timu nyingine Tanzania kama atashindwa kufikia makubaliano na Yanga

Tshishimbi aliyetua Yanga miaka miwili iliyopita akitokea Mbabane Swallows ya eSwatini, amekuwa akihusishwa kuwaniwa na Azam Fc

Hata hivyo amesisitiza Yanga ndio timu pekee ambayo atachezea kwa hapa Tanzania

"Mimi ni mchezaji wa Yanga na hata mkataba utakapomalizika timu nitakayofanya nayo mazungumzo ni Yanga," amesema

"Ni kweli zipo timu zimewasilisha ofa, lakini nitazungumza na Yanga kwanza kama tukishindwana basi nitazipa kipaumbele ofa za nje ya Tanzania"

Kwa siku za hivi karibuni Tshishimbi amekuwa katika kiwango bora akiwa amefunga mabao manne kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara

Hakuna shaka atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaopewa mikataba mipya katika kikosi cha Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’