Zahera kuleta mshambuliaji mkali zaidi ya Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 May 2019
Zahera kuleta mshambuliaji mkali zaidi ya Makambo

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewataka mashabiki wa timu hiyo wasiwe na wasiwasi juu ya kuondoka kwa mshambuliaji wao tegemeo Heritier Makambo

Zahera amesema kama mchakato wa usajili wa mshambuliaji huyo kutua Horoya AC utakamilika, tayari amejiandaa kuleta washambuliaji wenye uwezo kuliko Makambo

"Nawaambia washabiki wa Yanga wasiwe na wasiwasi. Kama Makambo akiondoka tutaleta washambuliaji wakali kama yeye au kumzidia," amesema

"Kwa sasa tuko kwenye mchakato wa kutengeneza timu kwa ajili ya msimu ujao.

"Tunafanya mazungumzo na wachezaji wengi, mpaka kufikia wiki ijayo wachezaji saba au nane watakuwa wamesaini"

Zahera anatarajiwa kuondoka wiki ijayo kuelekea DR Congo kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya nchi hiyo inayojiandaa na fainali za AFCON 2019 zitakazofanyika nchini Misri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’