Nahodha Cannavaro augua ghafla kambini Njombe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2017
Nahodha Cannavaro augua ghafla kambini Njombe
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub "Cannavaro" amelazimika kukosa mazoezi ya jana Jumatano jioni baada ya kuugua ghafla akiwa kambini.

Cannavaro alifanya mazoezi ya Jumatatu na juzi Jumanne lakini jana alijisikia vibaya na kuwahishwa hospitali ya jirani ili kutazamwa afya yake.

Nahodha huyo alipelekwa na daktari wa timu, Edward Bavu lakini hakukutwa na tatizo lolote hivyo kushauriwa apate mapumziko.

"Sijakutwa na Malaria kama tulivyodhani, nimeambiwa ni uchovu tu hivyo nikapumzike," alisema Cannavaro.

Yanga itasafiri kesho Ijumaa kwenda Songea tayari kwa mchezo dhidi ya Majimaji unaotarajiwa kufanyika Jumamosi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4m ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’