Yanga yapania kuandika historia Juni 15

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 May 2019
Yanga yapania kuandika historia Juni 15

Hafla na Harambee ya Kuichangia Yanga Juni 15 Mwaka huu 2019 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kutakuwa na tukio la kihistoria, kwa watu wa mpira, ambao ni wananchi wanaomiliki #TimuyaWananchi watakao keti na kuichangia timu yao Yanga

Fedha Hizi zitaijenga timu, ikiwa ni pamoja na kujenga kikosi imara katika historia ya Tanzania.

Karibu, njoo ujumuike na wanaojua mpira nchi hii kwenye tukio la hadhi.

Tiketi za kawaida ni Shilingi 50,000, 100,000, meza ya V.M.E ni Shilingi 1,000,000, meza ya V.I.P 5,000,000 na meza ya V.V.I.P ni shilingi 10,000,000

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’