Ligi Kuu ya Vodacom inaingia mzunguuko wa tatu wikiendi hii ambapo mchezo wa kwanza utapigwa leo Ijumaa kati ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar.
Yanga itacheza na Majimaji kesho Jumamosi, Septemba 16 sambamba na timu nyingine kama inavoonekana kwenye ratiba hapo chini.

ADVERTISE HERE