Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson amekabidhi fedha taslim Tsh Milioni Moja kwa ajili ya kuichangia klabu ya Yanga
Mchango huo umepokelewa Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uhamasishaji ambaye ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Anthony Mavunde, Ofisini kwake Jijini Dodoma leo
ADVERTISE HERE