Nahodha msaidizi wa Yanga Thabani Kamusoko huenda akaukosa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Majimaji unaotarajiwa kupigwa kesho Jumamosi, Songea.
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema licha ya mchezaji huyo kuanza mazoezi lakini bado hajakaa sawa na hatma yake itafahamika baada ya mazoezi ya leo Ijumaa jioni.
Kamusoko aliumia katika mchezo uliopita dhidi ya Njombe Mji. Alitolewa kwenye dakika ya 49 ambapo nafasi yake ilichukuliwa na Raphael Daudi Loti.
"Tutalazimika kusubiri mpaka baada ya Mazoezi ya leo jioni kujua Kama nahodha Thabani Kamusoko naweza kuwa sehemu ya mchezo wa kesho," Dk Bavu ameiambia Yanga TV.

ADVERTISE HERE