Tuchangamkie tiketi za KUBWA KULIKO

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2019
Tuchangamkie tiketi za KUBWA KULIKO

Baada ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao, ni dhahiri Yanga inahitaji kuongeza wachezaji wenye uzoefu wa michuano hiyo kwenye kikosi chake kipya

Habari njema ni kuwa usajili wa Yanga ulililenga kujenga timu imara na ndio maana wachezaji wengi waliosajiliwa wanacheza timu za Taifa

Hivyo itahitaji kuongeza wazoefu wachache tu

Msimu huu wanachama na mashabiki wa Yanga ndio wawekezaji wa timu na Harambee ya KUBWA KULIKO itakayofanyika Juni 15 2019 itawakutanisha wadau wote ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Wito umetolewa kwa wadau wa Yanga kununua tiketi ili kuwa sehemu ya historia itakayoandikwa siku hiyo

Unaweza kununua tiketi kupitia mitandao ya simu Tigopesa na Mpesa

Kwa wale wa mtandao wa Vodacom, wanaweza kununua tiketi za Harambee ya KUBWA KULIKO kwa utaratibu huu;

1. Andika *150*00# Ok
2. Changu Namba *4* Lipa kwa Mpesa
3. Chagua Namba *4* Ingiza namba ya Kampuni
4. Namba ya Kampuni ni 150150
5. Weka Namba ya Kumbukumbu ya Malipo
6. Namba ya Kumbukumbu ya Malipo Ambayo ni 10010252 kwa REGULAR, na kumbukumbu namba 10010253 Kwa VIME ONE wakati kumbukumbu Namba 10010254 ni kwa VIME TWO.
7. Weka Kiasi (Kwa tiketi za *REGULAR* weka 50,000/=, kwa *VIME ONE* weka 100,000/= na kwa *VIME TWO* weka 1,000,000/=.)
8. Weka Namba ya Siri
Utapata Ujumbe wa Tiketi yako

Kwa wale wa mtandao wa Tigo, unaweza kununua tiketi ya Tsh 50,000/- Harambee ya KUBWA KULIKO kwa utaratibu huu;

1. Andika *150*01# Ok
2. Changu Namba *4* Lipa Bill
3. Chagua Namba *3* Ingiza namba ya Kampuni
4. Namba ya Kampuni ni *150150*
5. Ingiza Kumbukumbu Namba
6. Kumbukumbu namba ni 10010252
7. Ingiza Kiasi (Kwa tiketi za Regular weka 50,000/=)
8. Weka Namba ya Siri
Utapata Ujumbe wa Tiketi yako

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
53m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’