Yanga yasaka Wakala wa kuuza jezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2019
Yanga yasaka Wakala wa kuuza jezi

Uongozi wa Yanga umedhamiria kuifanya timu hiyo inufaike na bidhaa zake ambapo imetangaza kusaka Wakala atakayeuza jezi na bidhaa nyingine za timu hiyo msimu ujao

Tenda imetangazwa leo Jumatano, Juni 05 kwenye gazeti la Uhuru.Β  Hii ni fursa kwa Wanajangwani yafaa kuichangamkia

Aidha, ni habari njema kwa Yanga kwani kwa miaka kadhaa haikuwa na mfumo mzuri wa uuzwaji wa jezi na bidhaa nyingine kupelekea timu hiyo kutonufaika

Msimu uliomalizika pekee Yanga ilikuwa na matoleo ya jezi zaidi ya tisa na jezi hizo zinauzwa 'kama njugu' mitaani, zinatumia nembo ya Yanga lakini hakuna mapato yoyote yanayoingia klabuni

Hii ni hatua njema ambayo inaweza kuziba mianya iliyopo na hatimae timu kuanza kunufaika kupitia mauzo ya bidhaa zake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’