Yanga yajitosa kumuwania Kihimbwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jun 2019
Yanga yajitosa kumuwania Kihimbwa

Yanga inaendelea kuboresha kikosi chake kwa ajili ya ligi kuu msimu ujao pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Inaelezwa mabingwa hao wa kihistroa wametua mkoani Morogoro kunako klabu ya Mtibwa Sugar kumuuliza kiungo wa timu hiyo Salum Kihimbwa

Kihimbwa ambaye bado ana mkataba na Mtibwa Sugar unaomalizika mwaka 2021, ameingia kwenye rada za Yanga baada ya timu hiyo kupata nafasi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao

Juzi Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) liliitarifu TFF juu ya ongezeko la timu kutoka Tanzania zitakazoshiriki michuano ya msimu ujao

Baada ya kufikisha alama 18, Tanzania imekuwa miongoni mwa timu 12 ambazo zimepewa nafasi ya kuingiza timu nne michuano ya CAF, mbili ligi ya mabingwa na mbili kombe la Shirikisho

Kihimbwa pia anawaniwa na Simba ambayo mpaka sasa haijaanza usajili wa wachezaji wapya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’