Stars yaelekea Misri na matumaini kibao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2019
Stars yaelekea Misri na matumaini kibao

Wachezaji 32 wanaounda kikosi cha awali ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wameondoka leo kuelekea nchini Misri ambako wataweka kambi kujiandaa na michuano ya AFCON 2019 itakayofanyika nchini humo baadae mwezi huu

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amesema wanakwenda Misri kupambana wakitambua wana kazi ngumu

Amunike amesema wameridhishwa na sapoti wanayopata kutoka kwa Serikali na wadau wengine wa soka nchini, anaamini kama watapambana na kujituma kwenye michuano hiyo wanaweza kufanya vizuri

Stars imepangwa kundi C pamoja na Kenya, Senegal na Algeria

Mchezo wake wa kwanza ni dhidi ya Senegal ambao utapigwa Juni 23 2019

Ikiwa Misri Stars inatarajiwa kujipima dhidi ya Zimbabwe na Misri katika michezo ya kirafiki

Kikosi cha wachezaji 23 kitatangazwa baada ya mchujo wa mwisho utakaofanyika nchini Misri kabla ya kuanza kwa mashindano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’