Kabwili kufanya majaribio Ulaya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2019
Kabwili kufanya majaribio Ulaya

Mlinda lango aliyemaliza mkataba katika klabu ya Yanga Ramadhani Kabwili amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio klabu ya FK Renova ligi kuu ya Macedonia barani Ulaya

Kabwili ametakiwa kuanza majaribio yake Juni 24 2019

Inaelezwa Yanga ilikuwa na mpango wa kumuongezea mkataba mlinda lango huyo aliyesajiliwa kutoka kikosi cha timu ya Taifa ya vijana U17, Serengeti Boyz

Hata hivyo Kabwili ambaye pia alikuwa na ofa kutoka Sudani, amesema atakwenda Macedonia kufanya majaribio kwanza

Kabwili atakuwa mchezaji wa tatu kutoka Yanga kwenda Ulaya baada ya Yohana Mkomola na Maka Edward

Mkomola amesajiliwa na Arsenal Kyiv ya Ukrane wakati Maka amekwenda kufanya majaribio Latvia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’