Jezi ya ugenini Stars yawatoa 'povu' mashabiki Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2019
Jezi ya ugenini Stars yawatoa 'povu' mashabiki Simba

Jana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania 'TFF' liliweka hadharani jezi za Stars ambazo zitatumika kwenye michuano ya AFCON 2019 inayoanza wiki ijayo nchini Misri

Baadhi ya mashabiki hasa wa Simba wameipinga jezi ya ugenini ambayo sehemu kubwa ya rangi yake ni ya njano

Hata hivyo jezi hiyo kwa kiasi kikubwa imeakisi bendera ya Tanzania kwani imesheheni rangi zote zilizo katika bendera ya nchi

Jezi hiyo imezua utata huku baadhi ya mashabiki wa Simba wakisema hawatainunua kwani kuvaa njano ni sawa na kuisaliti timu yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’