Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Harambee ya kuichangia Yanga maarufu Kubwa Kuliko itakayofanyika keshokutwa Jumamosi Juni 15 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Aidha uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa miongoni mwa wageni Maalum kwenye hafla hiyo

ADVERTISE HERE