Ligi Kuu ya Vijana U20 hatua ya makundi inaingia mzunguuko wa pili leo ambapo kundi A miamba ya soka nchini Yanga na Simba zitaumana katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Yanga ililazimishwa sare kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Kagera Sugar, Simba nayo ikalazimishwa sare dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo unatarajiwa kupigwa saa kumi jioni

ADVERTISE HERE