Maandalizi Kubwa Kuliko yakamilika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jun 2019
Maandalizi Kubwa Kuliko yakamilika

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema Maandalizi ya Harambee ya kuichangia Yanga iliyopachikwa jina la Kubwa Kuliko yamekamilika

Tukio hilo la kihistoria litafanyika kesho Jumamosi ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa 11 jioni

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya maandalizi ya tamasha hilo Luhango David amesema maandalizi yamekamilika, kinachosubiriwa ni hiyo kesho

Bado tiketi zinapatikana ambapo kwa siku ya leo unaweza kujipatia tiketi kwa ofa ya Tsh 20,000/- tu

Hii ni fursa adimu kwa Mwanajangwani kupata nafasi ya kujumuika na Wanayanga wengine katika Harambee hiyo yenye lengo la kuirejesha Yanga mahali pake

Tukio hilo la kihitoria litarushwa mbashara na Azam Sport 2 pia kupitia tovuti ya www.kitangoma.com, unaweza kufuatilia popote ulipo duniani kwa kulipia Tsh 3000/- tu fedha ambazo utakuwa umeichangia Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’