Uongozi wa Yanga umesema Madaktari ambao ni Wanachama wa Yanga ambao pia ni Wanachama wa Chama cha Madaktari wa Michezo Tanzania (TASMA) , watatoa huduma ya kwanza na huduma nyingine za kiafya kwa wageni watakaohitaji huduma hiyo Diamond Jubilee
Pia watatoa huduma nyingine zikiwemo kupima Kisukari, VVU, B/P, Uzito na Malaria kwa watakaohitaji
ADVERTISE HERE