Makonda aonyesha eneo la uwanja wa Yanga Kigamboni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2019
Makonda aonyesha eneo la uwanja wa Yanga Kigamboni

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda amekamilisha ahadi aliyoitoa siku ya Jumamosi kwenye Kubwa Kuliko baada ya leo kuongozana na viongozi wa Yanga mpaka Kigamboni na kuwaonyesha eneo lenye ukubwa wa ekari saba ambalo atawakabidhi rasmi siku ya Ijumaa

"Leo tuko hapa Kigamboni nikiongoza na Mwenyekiti wa Yanga, Makamu, Kaimu Katibu Mkuu na viongozi wengine wa Yanga kuwaonyesha eneo ambalo niliwaahidi kuwapatia siku ya Jumamosi kwenye Harambee ya kuichangia timu hiyo," amesema Makonda

"Lengo la leo ni kuwaonyesha eneo, siku rasmi ya kuwakabidhi ni Ijumaa ambapo tutaweka jiwe la msingi na mashabiki wa Yanga tutakuwa nao hapa kuashiria mwanzo mpya wa klabu ya Yanga"

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema wanaweza kulitumia eneo hilo kujenga Academy ya Yanga ambayo itatumika kukuza vipaji vya wachezaji wadogo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’