Hongera wachezaji, viongozi na benchi la Ufundi Yanga kwenda kumfariji Manji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
19 Sep 2017
Hongera wachezaji, viongozi na benchi la Ufundi Yanga kwenda kumfariji Manji
Jana wachezaji, viongozi na benchi la Ufundi walimtembelea Mwenyekiti wa zamani wa Yanga Yussuf Manji kumjulia hali baada ya kutoka gereza la Keko, dar es Salaam kufuatia kufutiwa mashitaka ya Uhujumu Uchumi.

Msafara huo ukiongozwa na Kocha Mkuu, Mzambia, George Lwandamina walimfuata Manji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kusutu, Dar es Salaam ambako alikwenda kusikiliza kesi yake nyingine ya tuhuma za kutumiwa dawa za kulevya.

Pamoja na kusalimiana na kupeana mikono na wote, lakini Manji alizungumza na kirefu na Nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’.

Manji alizungumza na Cannavaro akitoka mahakamani kusikiliza kesi yake, ambayo imeahirishwa hadi Septemba 25, mwaka huu.

Ni jambo jema kwa viongozi kutambua mchango wa Manji kwenye klabu ya Yanga. Matatizo yaliyompata ni sehemu ya changamoto za maisha ya binadamu.

Manji alifarijika sana kwa tukio lile.

Tunamuombea kheri katika kesi yake ya pili baada ya ile ya Uhujumu Uchumi kufutwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE →
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE →
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE →
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE →