Yanga jana haikufanya mazoezi kwenye dimba la Uhuru kutokana na kubadilika kwa program ya mazoezi.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa Yanga Dismas Ten, jana kulikuwa na kikako maalumu kati ya wachezaji na viongozi wa Yanga.
Uongozi wa Yanga ulitaka uitambulishe safu ya viongozi wote kwa wachezaji.
Ten amesisitiza kuwa hakukuwa na mgomo wowote na leo kikosi cha Yanga kitakuwa uwanja wa uhuru kuendelea na mazoezi

ADVERTISE HERE