Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla kesho Ijumaa, Juni 28 atazungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu ya Yanga jijini Dar es salaam
Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa tano kamili asubuhi
DK Msolla anatarajiwa kuzungumza masuala mbalimbali muhimu yanayoihusu klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE