Wanaotemwa Yanga wasubiri kauli ya Dk Msolla

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2019
Wanaotemwa Yanga wasubiri kauli ya Dk Msolla

Wakati Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla akitarajiwa kuzungumza na wanahabari leo, pamoja na mambo mengine, huenda akaweka hadharani mustakabali wa baadhi ya wachezaji wanaotemwa na timu hiyo

Wiki iliyopita Dk Msolla aliahidi kuwa wataweka hadharani majina ya wachezaji ambao hawataongezwa mikataba

Dk Msolla alisema watafanya hivyo mwishoni mwa wiki hii ili kuwapa wachezaji hao muda wa kusaka timu nyingine

Inaelezwa tayari Yanga imekamilisha usajili ambapo inapaswa kutuma majina CAF kabla ya keshokutwa, Juni 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’