Ten ataka utulivu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2017
Ten ataka utulivu Yanga
Baada ya sintofahamu ya jana, kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi leo kwenye dimba la Uhuru ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda Jumamosi, Septemba 23.

Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema wachezaji wote walihudhuria mazoezi ya leo isipokuwa Amissi Tambwe na Beno Kakolanya ambao wanasubiri ripoti kutoka kwa madakatari wanaotibu majeraha yao.

Amesema wachezaji hao huenda wakaanza mazoezi mepesi kwenye kikosi cha kwanza kuanzia kesho kutegemeana na ripoti za madaktari wao.

Akizungumzia mchezo wa Jumamosi, Ten amesema Yanga imejiandaa kuibuka na ushindi ili kuweka hai matumaini yake ya kutwaa ubingwa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu wa nne mfululizo.

Aidha, Ten amewataka mashabiki wa Yanga kuwa watulivu kwa kuwa viongozi wa Yanga wako makini kushughulikia maswala yote yanayoihusu klabu yao
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’