Shukrani za Ninja kwa wadau Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2019
Shukrani za Ninja kwa wadau Yanga

Aliyekuwa beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amekamilisha usajili wake kunako klabu ya MFK Vyoskov ya Jamhuri ya Czech akisaini mkataba wa miaka minne

Hata hivyo Ninja atatolewa kwa mkopo kwenda klabu ya MFK LA Galaxy ya Marekani

Ninja ametoa shukrani kwa wadau wote waliomuunga mkono wakati wote alioichezea Yanga

"Kwanza namshukuru Mola wngu kwa hili hakika wewe ndio nguzo ya maisha yangu," amesema

"Pili naishukuru familia yangu kwa kunisapoti na kuwa pamoja kwa kila jambo"

"Tatu naishukuru tmu yangu niliyotoka Yanga, nawashukuru wachezaji wezangu kwa kushirikiana vzuri katikia misimu miwili niliyomaliz,  bila ya kuwasahau wadau wote wa soka wanaonisapoti

"Naomba muendelee kunisapoti kwa kila hali pia nahitaji dua zenu inshaallah"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’