Dili la Yanga kumnasa Rutanga lakwama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2019
Dili la Yanga kumnasa Rutanga lakwama

Klabu ya Rayon Sports imemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wa kushoto wa timu hiyo Erick Rutanga ambaye alikuwa akitajwa kuwa mmoja wa wachezaji waliokuwa wakiwaniwa na Yanga kuchukua nafasi ya Gadiel Michael

Awali klabu ya Nkana Fc ilijitosa kumuwania beki huyo mahiri, hata hivyo hawakufikia muafaka

Yanga inaweza kumsajili beki wa zamani wa Singida United ambaye msimu uliopita aliichezea Gor Mahia Shafiq Batambuze kuchukua nafasi ya Gadiel ambaye amepewa ruhusa ya kujiunga na timu anayotaka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’