Jana ilikuwa siku mpya kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Deus Kaseke ambaye alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu
Kaseke ameachana rasmi na 'ukapera' na kuingia katika maisha ya ndoa
Tunamtakia kila la kheri kwenye ukurasa wake huo mpya wa maisha
ADVERTISE HERE