TAARIFA
Tarehe 17 Uongozi wa Yanga utakuwa na kikao na viongozi wa matawi, Katibu na Mwenyekiti wanatakiwa kuhudhuria kikao hicho.
Ombi maalumu Kwa viongozi hao kuwa na paspoti mbili ili kutengeneza vitambulisho maalumu ili kuondoa ujanjaunja, makao makuu ya klabu.
Dismas Ten;
Kaimu Katibu wa Yanga
ADVERTISE HERE