Yondani kurudishiwa unahodha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2019
Yondani kurudishiwa unahodha Yanga

Baada ya kuondoka Ibrahim Ajib, kitambaa cha unahodha huenda kikarejeshwa kwa beki Kelvin Yondani 'Cotton', imefahamika

Yondani alikuwa nahodha wa Yanga msimu uliopita kabla ya kocha Mwinyi Zahera kufanya mabadiliko kwa kumpa majukumu hayo Ajib

Hata hivyo kwa sasa kwenye kikosi cha Yanga Yondani ndiye mchezaji mkongwe na mwenye uzoefu zaidi

Hivyo kuwa na umuhimu kwake kuendelea kuwa nahodha wa Yanga akisaidiana na Juma Abdul aliyeongeza mkataba wa kuendelea kubaki na mabingwa hao wa kihistoria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’