KIungo mshambuliaji Deus Kaseke ameripoti kambini mkoani Morogoro baada ya kumaliza fungate
Kaseke alipewa mapumziko baada ya kufunga ndoa wiki iliyopita
Kaseke pamoja na Said Juma 'Makapu' leo wameshiriki mazoezi ya kikosi cha Yanga yanayoendelea mkoani Morogoro
Licha ya awali kudaiwa kuwa mkataba wake ungesitishwa, uongozi wa Yanga umemrejesha Makapu kikosini
ADVERTISE HERE