Sadney kurithi mikoba ya Tambwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2019
Sadney kurithi mikoba ya Tambwe

Jezi namba 17 iliyokuwa inavaliwa na mshambuliaji Amissi Tambwe sasa itatumiwa na Sadney Urikhob mshambuliaji aliyetua Yanga akitokea Namibia

Urikhob atakuwa na jukumu la kutunza 'thamani' ya jezi hiyo ambayo Tambwe ameitendea haki wakati wote aliocheza hapa Tanzania

Mkali huyo wa kuzifumania nyavu anatarajiwa kuungana na washambuliaji wengine waliotua Yanga Juma Balinya na Maybin Kalengo

Kalengo amekabidhiwa jezi namba 19 iliyokuwa ikitumiwa na Heritier Makambo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’