Yanga yajipima na Tanzanite Fc Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2019
Yanga yajipima na Tanzanite Fc Morogoro

Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua mkoani Morogoro yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya

Ikiwa sehemu ya program ya mazoezi, leo asubuhi Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzanite Fc kutoka mkoani Morogoro

Mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 10-1

Mrisho Ngasa alifunga hat-trik wakati Fei Toto, Balinya, Tshishimbi, Sibomana, Bigirimana, Balama na Lothi nao walizifumania nyavu

Yanga inatarajiwa kucheza michezo mingine mitatu ya kirafiki

Julai 23 itasafiri kwenda mkoani Dodoma kuumana na Dodoma Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’