Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mashindano leo wamefika mkoani Morogoro wakiambatana na baadhi ya wanachama kushuhudia maandalizi ya kikosi cha Yanga
Yanga inajifua katika viwanja vya Highlands Park kujiandaa na tukio la siku ya Mwananchi August 04 ambapo itachuana na AS Vita Club kutoka DR Congo



ADVERTISE HERE