Uongozi wa klabu ya Yanga umeyataka Matawi ya klabu hiyo kote nchini kuhakikisha yanachagua viongozi wapya
Akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa matawi yote uliyofanyika leo Makao Makuu ya klabu, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema Matawi mengi hayajafanya uchaguzi kwa muda mrefu
Amesema zoezi hilo linapaswa kukamilishwa haraka ambapo ifikapo mwezi wa kumi mwaka huu chaguzi zote zinapaswa kuwa zimekamilika
ADVERTISE HERE