Muingiliano wa ratiba wiki ya Mwananchi na michuano ya CHAN

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2019
Muingiliano wa ratiba wiki ya Mwananchi na michuano ya CHAN

Wiki ya Mwananchi ya Yanga imekumbwa na changamoto ya muingiliano wa ratiba na michuano ya CHAN

Awali mchezo wa kileleni cha wiki hiyo ulipangwa kupigwa dimba la Taifa Julai 27 lakini uliahirishwa kutokana na uwepo wa mchezo kusaka tiketi ya michuano ya CHAN kati ya Tanzania dhidi ya Kenya ambao utapigwa Julai 28 katika dimba la Taifa

August 04 ndiyo tarehe ambayo mchezo huo ulisogezwa ambapo klabu ya AS Vita imethibitisha kuja kukipiga na mabingwa hao wa kihistoria

Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya Kenya dhidi ya Tanzania nao umepangwa kupigwa August 04 huko Kenya

Lakini kwa kuwa Tanzania itacheza huko Kenya, huenda Yanga ikaendelea na ratiba yake kama ilivyopangwa

Aidha kutokana na muda uliobaki kuwa mdogo, hakuna uwezekano kwa mchezo huo kusogezwa mbele kwa kuwa kati August 09-11 Yanga itaanza kampeni ya michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya awali

Kama kutakuwa na ulazima, mchezo dhidi ya AS Vita unaweza kurudishwa nyuma

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’