Aliyekuwa beki wa kushoto wa Yanga Haji Mwinyi Mngwali amerejea kwao visiwani Zanzibar na kujiunga na KMKM, mabingwa wa ligi kuu ya visiwani Zanzibar
Mngwali ameondoka Yanga baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu minne
Ameondoka baada ya mkataba wake kumalizika, hakuwa kwenye mipango ya kocha Mwinyi Zahera
Beki huyo aliyetamba kwenye kikosi cha Yanga na timu ya Taifa kati ya mwaka 2015 na 2017, atashiriki michuano ya ligi ya mabingwa akiwa na KMKM
ADVERTISE HERE