Mlinda lango Deogratius Munishi 'Dida' ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya Simba
Dida aliichezea Yanga kwa mafanikio akiwa katika kikosi cha timu hiyo kilichotwaa mataji matatu ya ligi kuu mfululizo
Kwa sasa anajifua binafsi akisubiri ofa kutoka timu zinazohitaji huduma yake
Leo ameonekana akijifua akiwa amevaa 'uzi' wa Yanga
Ukicheza Yanga siku zote, Yanga itaendelea kubaki katika damu yako.....!



ADVERTISE HERE