Golikipa mpya wa Yanga Farouk Shikalo atawasili mkoani Morogoro Jumapili Julai 21 kujiunga na kikosi cha timu hiyo kinachoendelea na maandalizi ya msimu mpya
Shikalo ni mchezaji pekee ambae mpaka sasa hayuko kambini lakini ana ruhusa
Nyanda huyo namba mbili wa timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars, baada ya kumaliza michuano ya Afcon, alielekea Rwanda kushiriki michuano ya kombe la Kagame akiwa na timu yake ya zamani, Bandari FC
Ujio wake utakamilisha idadi ya makipa wanne wa kikosi cha Yanga
ADVERTISE HERE