Tawi la Yanga Daima Nzega wameanza maadhimisho ya wiki ya Mwananchi ambapo leo wako Hospitali ya Wilaya ya Nzega kufanya usafi
Kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi ambayo ni August 04, Wananchi kupitia Matawi yao wameaswa kujitokeza maeneo yanayowazunguuka kufanya shughuli mbalimbali za kijamii
Wananchi wa Nzega wameianza shughuli hiyo mapema
Baada ya kumaliza zoezi la usafi, watachangia damu kwenye Hospitali hiyo
ADVERTISE HERE