Wachezaji Metacha Mnata, Paulo Godfrey na Feisal Salum 'Fei Toto' tayari wamejiunga na kambi ya timu ya Taifa inayoanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Kenya
Aidha Meneja wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye ndiye Meneja wa kikosi cha Stars nae tayari ameripoti kambini akiwa na vijana wake
Stars imeweka kambi kwenye Hotel ya APC,Mbweni kujiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya utakaopigwa Julai 28 Uwanja wa Taifa



Wachezaji wengine wa Yanga wanaotarajiwa kujiunga na kambi hiyo ni Kelvin Yondani na Abdulaziz Makame 'Bui'
ADVERTISE HERE